This blog is proudly sponsored by Vodacom
Dollywood: June 2011

PAGES

Sunday, June 12, 2011

RUNWAY.
























BONGO..CELEB'S...STYLE.

T.I.D jembe mzazi akiwa amejiachia kwenye studio za dollywood.
top in dar(phpto's by ibra)
NASREEN akiwa amepozi kwenye studio za dollywood(picha na deo..a.k.a tevez)
DIAMOND raisi wa wasafi..akiwa amejiaachia kenye studio za dollywood(picha na ibra)
WORLPER..umeshainiiiii mamy

Monday, June 6, 2011

TIP'S.

SURUALI NI VAZI LINALO VALIWA,NA WAVULANA NA WASICHANA,IWE YA KITAMBAA AU JEAN'S.
KWA WASICHANA SURUALI HIYO HUWEZA KUBANA AU KUTOBANA ILA INATAKIWA KUVALIWA KWA
KUANGALIA UMBO LA MVAAJI JINSI ITAKAVYO MKAA ILI AWEZE KUONEKANA AMEPENDEZA.
PIA UNATAKIWA KUCHAGUA BLAUZI,SHATI AU FULANA AMBAYO ITA ENDANA NA SURUALI YAKO ILI
INAKSHI VIZURI NA KULETA MVUTO,KWA MFANO:UMEVAA SURUALI NYEUSI BASI CHAGUA RANGI YOYOTE UNAYO IPENDA NA UVAE NA UTAPENDEZA!TUJIFUNZE KUVAA NGUO AMBAZO ZINAENDANA NA RANGI YA MWILI NA MATCHING,KUANZIA KICHWANI MPAKA MIGUUNI(tip's by zuhura,dollywood model)